Popular Posts

Wednesday, September 14, 2011

Wazazi na watoto wa siku hizi... Jamani tubadilike ili kujenga jamii bora na yenye maadili!

 Wamama wa watu wameutundika kisawa sawa...mwenzao yupo chini hapo, kafleti!
 Angalia mabinti hawa... umri wao na kitendo cha huyu mwenzao hata haviendani! Ni jamii gani tunajenga?
 huyu dogo nae... sijui anamwiga nani kati ya wazazi wake? baadae atakuwa nani huyu?
 huyu baba nae... wa hovyooo! sijui ni savana hiyo juu? anategemea binti aige nini?
 huyu sasa anamfundisha nini mwanae... maana vitu vingine hata maelezo hayapatikani. ili mradi tafrani!
 hawa madogo juu na chini wanafanya nini? wazazi wao wako wapi? maana kwa umri huu, mtoto lazima awe chini ya uangalilzi makini wakati wote! nini hii...

huyu nae wakati anafanya hivi wzazi wake au mwangalizi wake alikuwa wapi? jamani tuwe "responsible and accountable" kwa malezi ya watoto wetu! tuwalinde, tuwafundishe na kuwaelimisha wakati wote! Hii itaepusha mambo ya ajabu ajabu kwenye jamii na itasaidia kujenga jamii bora. NAWAKILISHA...

No comments: