Popular Posts

Tuesday, December 6, 2016

Ze_city... Hipo Hop Artist, Rapper and Singer.


Real Name : Haifa Mapili

DOB : 27th Nov

Lives at Sala Sala, DSM.
Education : B.A (C.B.E)
Songs out : PAYDAY and TATAKELE
Upcoming Project : Plenty and very promising

Friday, September 2, 2016

Huddah Monroe...

This is UNACCEPTABLE and should be FULLY CONDEMNED WORLD-WIDE!

Hii pamoja na kwamba ni zamani, bado nahisi uchungu mkubwa sana kama imetokea jana. Nawasihi ndugu zangu kwenye yafuatayo:-
1. tujiheshimu na kupendana wenyewe
2. tusomeshe watoto wetu
3. tujenge uchumi wetu na tujitegemee

namna pekee ya kuheshimiwa na watu hawa ni kujikomboa kutoka kwenywe umaskini, kujitambua, kuheshimiana na kupendana kwa sisi waafrika. Natamani kuwaona wanangu na hasa jamii nzima ya kiafrika ikiheshimika sana na kufikia hatua wazungu wachukue ushauri wetu!

kwa viongozi wanaong'ang'ania madaraka, wosia wangu kwao wawaamini wananchi wenzao, wakubali maamuzi ya wananchi na watoe ushirikiano. hili ni eneo lingine linalofanya tudharaulike sana!Wednesday, September 9, 2015

POSE.... MBUMBA... Hapana chezeya!

 Kuku wanavunja tenga... hatareee!

 Dada akiwa kazini.... big up sana. 
 What a pose... above and below... APENDEZA...


 Mmmh!