Popular Posts
-
Did Philip Fart? What do you think? The expressions are priceless! Look at the Queen's face!
-
Miss Tanzania wa kwanza akipita ukumbini kweye bwalo la kuogelea ndani ya Kilimanjaro Hotel Mwaka 1967. Anaitwa Theresia Shayo. Urembo b...
-
Hii ilikuwa tarehe za mwisho wa mwezi wa nne... mdau huyu akanaswa live... hatimaye akashinda zawadi ya mfanyakazi bora wa mwaka 'mei mo...
-
wazungu kwa kutuharibia wa-afrika?!?!?!? sasa ndio nini kumwita 'naked baby killer' na kumwekea rangi ya mwafrika? kikosi maalum...
-
2008-05-12 09:40:58 By Adam Ihucha, Arusha Tanzania will immediat...
-
Mshahara utasubiriwa mpaka utoke... ukishapatikana tuu! ni kama ifuatavyo... bata kwa sanaaaaaaaaaaa..... gwede gwede mpaka lyamba!
-
AYUBA bought a new mobile. He sent a message to everyone from his Phone Book & said, 'My Mobile No. Has changed. E...
Friday, September 30, 2016
Thursday, September 29, 2016
Thursday, September 22, 2016
Thursday, September 15, 2016
Friday, September 2, 2016
This is UNACCEPTABLE and should be FULLY CONDEMNED WORLD-WIDE!
Hii pamoja na kwamba ni zamani, bado nahisi uchungu mkubwa sana kama imetokea jana. Nawasihi ndugu zangu kwenye yafuatayo:-
1. tujiheshimu na kupendana wenyewe
2. tusomeshe watoto wetu
3. tujenge uchumi wetu na tujitegemee
namna pekee ya kuheshimiwa na watu hawa ni kujikomboa kutoka kwenywe umaskini, kujitambua, kuheshimiana na kupendana kwa sisi waafrika. Natamani kuwaona wanangu na hasa jamii nzima ya kiafrika ikiheshimika sana na kufikia hatua wazungu wachukue ushauri wetu!
kwa viongozi wanaong'ang'ania madaraka, wosia wangu kwao wawaamini wananchi wenzao, wakubali maamuzi ya wananchi na watoe ushirikiano. hili ni eneo lingine linalofanya tudharaulike sana!
Subscribe to:
Posts (Atom)












