Hilo hapo juu ni jani la nini? Nasikia ni dawa inatibu magonjwa mengi likiwepo sikio???? Na huu msosi unaofuatia nasikia unaongeza heshima nyumbani kwa akina baba na mama???? ni madai ya raisi mmoja mwanamke kule amerika ya kusini. Mnaojua tafadhalini mtujuze...
No comments:
Post a Comment