Mtoto huyu (pichani) ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, akiwa na fulana iliyojaa matumaini ya kuwa rais wa baadae. Ni matumaini yetu mzazi / mlezi wake aliyemvalisha fulana hiyo anaweka jitihada za makusudi kumuwezesha kutimiza lengo / ndoto hiyo. Mungu ambariki ndoto zake zitimie... one day yes...

No comments:
Post a Comment