Popular Posts
-
Dr. Banda also claimed substantial parts of Tanzania, including - Rungwe district - and the rest of Mbeya Region in southwestern Tan...
-
hapa rais jafar el nimeiri wa sudan akisalimiana na omar zimbwe huku mohamed chuma (shoto) na nahodha abdulrahmani w...
-
Labda usivae nguo kabisa (kama ndege ya juu inavyopendekeza) au ukaguliwe (kama hapo chini)
-
Silly Larry........... Larry alipochoka kufanya kazi zake akazima taa, akambusu mkewe, akalala na usingizi mzito ukampitia. Mara ak...
-
1st woman: Hi! My name is Sandra. 2nd woman: Hi! I'm Sylvia. How'd you die? 1st woman: I froze to death. 2nd woman: How...
-
Alfred S. S. Mosha (Kipoo) 3 rd March 1944 – 2 nd September 1994 Time flies, days go by… it’s like you were here only yesterday. But t...
Sunday, January 27, 2013
Tuesday, January 22, 2013
Wednesday, January 16, 2013
Jamaa kenda kwa Mwenyekiti wa serikali za mtaa kulalamika...
JAMAA: Mke wangu hataki kunipa unyumba hebu ongea nae, nimekuja nae.
MJUMBE: Hebu muite, we kaa nje ya ofisi niweze kumsikiliza
JAMAA: Poa mkuu
MJUMBE: Haya mama kunani tena huko mzee unamnyima unyumba?
MKE: Asubuhi naondoka nyumbani sina senti tano nachukua kibajaji mpaka
kazini nikimwambia dreva sina hela, ananiuliza sasa utanilipa badae au? Mi
nakubali au. Nakuwa hapo nimechelewa kazini, nikifika huko bosi anasema sasa
umechelewa nikufukuze kazi au? Mi nachagua au, jioni narudi nyumbani tena
mwenye kibajaji ananiuliza unalipa au? nakubali au, sasa nakuwa nimechoka mzee
akitaka namnyima.
MJUMBE; Dah hiyo stori ya kusikitisha, sasa tumwambie mumeo au?
Tuesday, January 15, 2013
Thursday, January 10, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)



















