Mchango wako unahitajika sana wewe mwenye blogu na hata usiye na blogu ilikujenga muelekeo uliochangiwa na wengi na sio kikundi cha watu wachache.
Karibu uchangie, kosoa,kemea,shauri, ondoa, .... ilikupata muelekeo na jumuiya ya wanablogu Tanzania unayoweza kujivunia.
Kama unablogu tunaomba uweke tangazo la kuwafahamisha watu kuhusu ombi la mchango wao wa mawazo hapa ili liwezekuwafikia watu wengi.
http://blogutanzania.blogspot.com/
KARIBUNI WOTE!
Uongozi.
Popular Posts
-
As demographic data from the 2010 census starts to come in, it will show a startling trend - cities that have long been the African American...
-
wazungu kwa kutuharibia wa-afrika?!?!?!? sasa ndio nini kumwita 'naked baby killer' na kumwekea rangi ya mwafrika? kikosi maalum...
No comments:
Post a Comment