Popular Posts

Monday, January 24, 2011

Ubechezzz...

Nakumbukia enzi zangu na wadauz pale Ilala, akina Emma Kuyamba, Deo Kipaka, Marehemu Jumbe, Juma Sanga, n.k (Mwenyezi Mungu azipumzishe roho zao mahali pema peponii, amina) ilikuwa sinia likutua tuu, nyama zote mkono wa kushoto, then shughuli inaendelea. Suala la usafi sijui nini, hiyo baadae... tumewapoteza wengi sana Pius Paul (R.I.P) na wengineo... DUH!

No comments: