Popular Posts

Tuesday, January 11, 2011

Habari nyepesi nyepesi...

Jamaa alichukua simu ya GF wake, akaipigia ili aone ameseviwa kwa jina gani, alichokiona hakuamini. Alikuta jina la "MBWA KOKO JEUSI TIIII!" Yaliyofuatia si vizuri kusimulia!

No comments: