Popular Posts

Wednesday, September 15, 2010

Wachaga nao...

Chuo maalum kwa ajili ya vijana wa kichaga kimefunguliwa hapa Kiborloni, Moshi. Kinatoa kozi zifuatazo: 
1.      Ulevi  Mwezi mmoja;
2.      Ujambazi miezi sita;
3.      Kuchoma mtu kisu wiki moja;
4.      Kuchoma nyama kwenye baa miezi miwili;
5.      Kungarisha viatu wiki tatu (maalum kwa vijana wa Rombo);
6.      Kuuza duka miezi mitatu;
7.      Kurekebisha mipaka ya kiwanja cha jirani miezi minne;
8.      Kupata mume msomi na mwenye wadhifa mkubwa miaka miwili;
9.      Kufuga ng’ombe mwaka mmoja;
10.  Kuendesha pick-up miezi minne;
11.  Kugombea udiwani miaka miwili;
12.  Kuendesha pikipiki za bodaboda na bajaji wiki sita;
13.  Kuchakachua mafuta mwaka mmoja;
14.  Kupata kazi TRA miezi mitatu;
15.  Kukwepa kodi wiki nane; na
16.  Kukatisha tiketi kwenye magari ya Moshi, Dar na Arusha ni bure;
Watakaojiandikisha mapema watafundishwa bila malipo, jinsi ya kuishi eneo la Kimara, Dar es salaam .

No comments: