Popular Posts

Friday, September 24, 2010

Nauliza wadau...

Hilo hapo juu ni jani la nini? Nasikia ni dawa inatibu magonjwa mengi likiwepo sikio???? Na huu msosi unaofuatia nasikia unaongeza heshima nyumbani kwa akina baba na mama????  ni madai ya raisi mmoja mwanamke kule amerika ya kusini. Mnaojua tafadhalini mtujuze...

No comments: