Popular Posts

Sunday, April 13, 2008

Mikopo kwa kukodisha rasilimali yaja...


Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi Mh. Jeremiah Sumari hivi karibuni aliwasilisha bungeni mswada wa sheria ya mikopo inayotolewa kwa njia ya ukodishaji rasilimali na kusema kwamba mswada wa sheria hii ya mikopo unakusudia kuweka utaratibu wa kisheria utakaoisukuma sekta ya fedha kutoa mikopo kwa wananchi.

Bongo tambarare...

kwa maelezo zaidi bofya hapo chini.

http://www.mof.go.tz/index.php?option=com_content&task=view&id=249

No comments: