Popular Posts

Friday, April 25, 2008

jumuiya ya wanablogu tanzania

Mchango wako unahitajika sana wewe mwenye blogu na hata usiye na blogu ilikujenga muelekeo uliochangiwa na wengi na sio kikundi cha watu wachache.

Karibu uchangie, kosoa,kemea,shauri, ondoa, .... ilikupata muelekeo na jumuiya ya wanablogu Tanzania unayoweza kujivunia.


Kama unablogu tunaomba uweke tangazo la kuwafahamisha watu kuhusu ombi la mchango wao wa mawazo hapa ili liwezekuwafikia watu wengi.

http://blogutanzania.blogspot.com/

KARIBUNI WOTE!
Uongozi.

No comments: