Popular Posts

Tuesday, July 17, 2012

Nyama ya mbwa buchani...

Hapa Bongo Land tunatania wahehe kwamba wanakula mbwa, huko kwa wenzetu si utani wala masihara... wana-bucha ya nyama ya mbwa kabisa, tena wengine wanaamini ukila huzeeki! for more details BOFYA HAPA

No comments: