Popular Posts

Friday, June 10, 2011

Vituko vya ijumaa...

Bata ndio zenye... hasa siku kama ya leo... furahiii day!
College guys... mambo ya 'exile' yakizidi, kila mtu anaamua liwalo na liwe... lete nami nilete! kazi ndio hii
uswazi sio kabisa... sasa huyu baka kakosa nini? au ndio kuzalilishana dini hizi... haki za wanyama ziko wapi hapa? nini hii??? NALAANI KWA NGUVU ZOTE!

No comments: