Popular Posts

Thursday, March 10, 2011

Kwa wanaume wabishi...

wapo watu, sijui ni kwa nini hasa. Lakini wakimaliza haja zao hawaoshi mikono! Wengi ni akina baba... sasa haya masinki ni kiboko yao. Hapo lazima wataosha mikono tuu... au?

No comments: