Popular Posts

Monday, May 24, 2010

Enzi hizo...


















hapa rais jafar el nimeiri wa sudan akisalimiana na omar
zimbwe huku mohamed chuma (shoto) na nahodha
abdulrahmani wakishuhudia. nyuma yao ni kitwana manara 'popat'
na abdallah king kibaden mputa. hapa staazi walicheza vifua wazi
na sudan baada ya kukosekana jezi. mwalimu nyerere aliyehudhuria
mechi hii na mgeni wake hakuonekana tena mpirani toka siku hiyo....

2 comments:

Anonymous said...

Mjomba hongera kwa kuwekapicha yenye ukumbusho wa Tanzania yetu wakati hou mpira ulikuwa wa hali ya juu Tanzania. Sidhani kama utakuja wakati kama hou uliopita Tanzania kupata wachezaji kama hawa wa zamani jee ziko picha nyingine ndugu?

Mzalendo Mkongwe.

inno.mosha@gmail.com said...

Mzalendo Mkongwe, ahksante sana kwa maoni yako. Nasikitika sina picha nyingi za matukio yaliyotukuka kama hili. ila nizipatapo huo sijiulizi mara mbili kuziwakilisha ili wote tufaidi. Nakusihi kama unazo au unaweza kuzipata tafadhali nitumie kwa barua pepe niweze kuzitumia kuhabarisha wote.