Popular Posts

Thursday, December 30, 2010

Richmond - Rex - Tanesco... is this true...

Rex Attorneys huenda ikakabiliwa kashfa ya mgongano wa maslahi

Kwa mujibu wa thread iliyoanzishwa na Vuvuzela hivi leo, kampuni ya mawakili ijulikanayo kwa jina la Rex Attorneys, iliwahi kuwa mwakilishi wa Richmond Development Corporation(RDC) hapa nchini. Kama hivyo ndivyo, ni dhahiri kampuni hiyo ilikiuka miiko ya taaluma (profession misconduct), kwa kuwakilisha TANESCO katika kesi ambayo ilifunguliwa dhidi yake na kampuni iliyorithi mkataba wa mteja wake wa zamani. Nakaribisha maoni zaidi katika suala hili.
 
source: JamiiForum
 
My take: Kama hii ni kweli, basi bongo ni tambarare kwa sana tuu... na bado!
KICHWANGUMU.

No comments: