Popular Posts

Tuesday, December 14, 2010

Jamani tuzingatie haki za watoto...

kama wewe ni mzazi au mlezi basi yakubali majukumu yako na uyazingatie... si haki na haipendezi kumbambika mtoto mdogo kiasi hichi majukumu makubwa ya kuhudumia familia kwa kiwango hiki. kwa kweli haipendezi hata kidogo, hivi na hapa tutasema tunasubiri serikali uchukue hatua kweli???? Tubadilike, serikali ni sisi... mimi, wewe, yule na huyu! basi na kila mmoja wetu atimize wajibu wake kutokana na nafasi yake. Mtoto kama huyo pichani anapaswa aende shule, akitoka acheze kiasi na kusaidia kazi anazomudu! sio kuteseka kiasi hichi...  
'tafakari...'

No comments: