Popular Posts

Thursday, November 18, 2010

Mzee wa kiraracha...

Augustine Lyatonga Mrema, Mzee wa Kiraracha... sasa atarudi kwa shepu... na blackberry itapatikana, wacha azugie kwa mara ya mwisho hicho cha tochi huku akisubiria mshiko wa bunge.

No comments: