Tanzania ya leo ni tofauti kabisa na Tanzania ya miaka ya nyuma, hasa kwa
Dar-es-salaam. Mwanamke kulala na mwanaume imekuwa ni kitu cha kawaida sana,
sio kama zamani. Zamani mwanamke kulala nae sio kazi ndogo. Utaambiwa subiri
nikafikirie, jibu wiki ijayoooooo! Pengine tungesema tatizo kwa sasa ni low
self esteem na low self confidence kwa kina dada, lakini hata huko vyuoni nako
ambako tunategemea kina dada zetu wasomi wawe tofauti, wao ndio wamepitiliza
kabisa. Hao ndio wanao ongoza kwa mambo yote ya aibu mjini DSM. Makazini ndio
usiseme, ni kawaida kwenda chooni na kusikia mke wa mtu anapiga mayowe ya
mahaba. Kwa kweli tofauti na zamani, suala la sex halina thamani tena. Kwenye
ndoa ndio kabisa, ni jambo la kawaida kwa wake za watu kulala na vidume vyao
vya zamani, hata kama huko walipoolewa kuna kila juhudi za kuwaridhisha. Swali
langu ni je, hali hii ya ngono ya ovyo ovyo na rahisi rahisi ni nani wa
kulaumiwa zaidi kati ya wanaume na wanawake? Kwani humu kumekuwa na thread
nyingi sana za kulaumu wanawake hawajatulia, mara nyingine wanaume hawajatulia,
lakini huwa hakuna mjadala wa kusaidiana kupata majibu kuhusu chanzo la tatizo
hili, hasa kwa kuzingatia kwamba huko nyuma hali haikuwa hivi.
Popular Posts
-
Heri kuchapwa kofi na Mkweli.... kuliko kupigwa busu na muongo! Na Robert Kishimba...
-
Miss Tanzania wa kwanza akipita ukumbini kweye bwalo la kuogelea ndani ya Kilimanjaro Hotel Mwaka 1967. Anaitwa Theresia Shayo. Urembo b...
-
Team, join WAZZUB family and enjoy the power of "WE" click the link below... To JOIN click "Bofya" here "hapa...
-
Mike Sonko... the man himself. his campaign ride...
-
Moja kati ya bendi changa na zinazochipukia... ikiwa kazini! M Juu na chini, need me say more?
-
AYUBA bought a new mobile. He sent a message to everyone from his Phone Book & said, 'My Mobile No. Has changed. E...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment