Team, join WAZZUB family and enjoy the power of "WE" click the link below...
Popular Posts
-
By Shaibu Mdoe DSM In Lebanon, men are legally allowed to have sex with animals, but the animals must be female. Having sexual relations wit...
-
By Ikunda, DSM. I recall my first time with a condom, I was 16 or so. I went in to buy a package of condoms. There was a beautiful woman ...
-
Alfred S. S. Mosha (Kipoo) 3 rd March 1944 – 2 nd September 1994 Time flies, days go by… it’s like you were here only yesterday. But t...
-
Family conversations this morning... MKE: Kuna nini kwa jirani? MME: Kuna birthday MKE: Ya nani tena? MME: Itakuwa Tuyu... MKE:...
-
1st woman: Hi! My name is Sandra. 2nd woman: Hi! I'm Sylvia. How'd you die? 1st woman: I froze to death. 2nd woman: How...
-
An elderly spinster who was a dog lover, agreed to look after her neighbor's dog while they went on vacation. The only problem was that...
-
Private Brian Salvarory Rweyemamu enzi za uhai wake. Bwana Salvatory Rweyemamu wa Kinondoni Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo...
Friday, February 17, 2012
Thursday, February 16, 2012
Monday, February 13, 2012
Thamani ya Mapenzi Kushuka TZ - Nani wa Kumlaumu?
Tanzania ya leo ni tofauti kabisa na Tanzania ya miaka ya nyuma, hasa kwa
Dar-es-salaam. Mwanamke kulala na mwanaume imekuwa ni kitu cha kawaida sana,
sio kama zamani. Zamani mwanamke kulala nae sio kazi ndogo. Utaambiwa subiri
nikafikirie, jibu wiki ijayoooooo! Pengine tungesema tatizo kwa sasa ni low
self esteem na low self confidence kwa kina dada, lakini hata huko vyuoni nako
ambako tunategemea kina dada zetu wasomi wawe tofauti, wao ndio wamepitiliza
kabisa. Hao ndio wanao ongoza kwa mambo yote ya aibu mjini DSM. Makazini ndio
usiseme, ni kawaida kwenda chooni na kusikia mke wa mtu anapiga mayowe ya
mahaba. Kwa kweli tofauti na zamani, suala la sex halina thamani tena. Kwenye
ndoa ndio kabisa, ni jambo la kawaida kwa wake za watu kulala na vidume vyao
vya zamani, hata kama huko walipoolewa kuna kila juhudi za kuwaridhisha. Swali
langu ni je, hali hii ya ngono ya ovyo ovyo na rahisi rahisi ni nani wa
kulaumiwa zaidi kati ya wanaume na wanawake? Kwani humu kumekuwa na thread
nyingi sana za kulaumu wanawake hawajatulia, mara nyingine wanaume hawajatulia,
lakini huwa hakuna mjadala wa kusaidiana kupata majibu kuhusu chanzo la tatizo
hili, hasa kwa kuzingatia kwamba huko nyuma hali haikuwa hivi.
Tuesday, February 7, 2012
Hoja ya Haja: Kwanini Wanaume Wengine Ni Waoga Wa Kutongozwa?"
Na Ikunda F. DSM.
Tusaidie. Baadhi ya wanaume ni waoga wa kutongozwa na wanawake.
Hii ni kwa mujibu wa tafiti na uzoefu uliopo. Hapa kuna sababu za kijamii
ikiwamo malezi, mila na desturi.
Bado inaonekana na wengi kama kitendo cha ajabu kwa mwanamke kuanza kuchukua hatua za kumtongoza mwanamme anayempenda ama kuvutiwa naye.
Bado inaonekana na wengi kama kitendo cha ajabu kwa mwanamke kuanza kuchukua hatua za kumtongoza mwanamme anayempenda ama kuvutiwa naye.
Kuna wanaume wanaoamini, kuwa jambo hilo si la ki-uanauke.
Mwanamme bado anaamini kuwa jukumu la kuchukua hatua za kutongoza ni za
kwake,kwamba ni yeye ndiye anayepaswa kuanza kumtongoza mwanammke. Akitongozwa
anashtuka!
Inakuwaje basi,kama mwanamke atampenda ama kuvutiwa na mwanamme bila mwanamme huyo kuweza kusoma ishara za mapenzi, je, mwanamke huyo asubiri mpaka siku ile mwanamme atakapolala na kuota kuwa anapendwa na mwanamke huyo? Kazi kwako na wengine mlio tayari kuchangia. Tunasubiri maoni...
Inakuwaje basi,kama mwanamke atampenda ama kuvutiwa na mwanamme bila mwanamme huyo kuweza kusoma ishara za mapenzi, je, mwanamke huyo asubiri mpaka siku ile mwanamme atakapolala na kuota kuwa anapendwa na mwanamke huyo? Kazi kwako na wengine mlio tayari kuchangia. Tunasubiri maoni...
Saturday, February 4, 2012
Wednesday, February 1, 2012
Today's JOKE!
A guy goes to the supermarket, and a beautiful woman smiles at him and says hello.
He's rather taken aback because he can't place how he knows her.
So he asks, "Do you know me?"
The woman says, "I think you're the father of one of my kids."
His mind travels back to the only time he has ever been unfaithful to his wife,
and he says, "My God! Are you the stri**er from my bachelor party that we had sex on the pool table with all my buddies watching?"
She looks into his eyes and calmly says, "No, I'm your son's math teacher."
The message you tried to print is protected with Information Rights Management. You don't have the necessary user rights to print the message.
Subscribe to:
Posts (Atom)