Popular Posts

Thursday, December 22, 2011

Kipindi hiki baadhi ya wanaume wanapokea simu na sms za aina hizii…..


1.'Dear, kodi ya pango inaisha January 2012 na mwenye nyumba ameongeza
kodi. I love you much!'

2.'Baby, xmas itakuwaje nataka nikafanye shopping Mariedo. Na nataka kwenda kusuka mwenge, naomba TShs 1,000,000. Xoxo.'

3.'Mpenzi, sasa Kova utamdanganya vipi kuhusu ile safari yetu ya Zanzibar on new year's eve? Missing you badly!'

4.'Sweetie, naomba uniongezee TShs 600,000 niweze kumalizia school fees ya mdogo wangu. Kiss and hug.'

5.'Mama na wadogo zangu watakuwepo wakati wa sikukuu hii. Kwahiyo naomba hela ya shopping ya chakula my love. Bye!'

6.'Sweetheart, nimeishiwa naomba pesa ya mafuta kama TShs 200,000 ukiweza please. Chat later baby.'

No comments: