Popular Posts

Friday, December 4, 2009

Ndege wa kwenye bendera ya Uganda

Tompson gazelle, ni wanyama jamii ya swala. Ni watamu... wapo ndani ya Ngorongoro crater pia.
Ndege hawa kwenye picha juu na chini wanapatikana Ngorongoro crater na pia wanatumika katika bendera ya majirani zetu Uganda

No comments: