Popular Posts

Friday, November 20, 2009

Rais wetu wa awamu ya tatu


Benjamin William Mkapa, namzimia sana huyu jamaa... ukiacha mapungufu yake kidogo, na 'influence' fulani fulani zilizomharibia, jamaa ana misimamo sahihi sana. Uncle Ben pumzika mkuu.

No comments: