Popular Posts
-
A policeman at Mbale Central Police Station receiving a naked suspected thief, Bernard Wanja, who was marched to the station by a mob on ...
-
Na Mwandishi wetu, Bongo. Naheshimu sana mafunzo na mawaidha wanayopewa wanawake katika kitchen party zao, na nampa big up sana AdhaDii ...
-
ABOUT Wife of the 41st President of the United States George Bush , and the mother of George W. Bush , the 43rd President of the United...
Friday, September 30, 2016
Thursday, September 29, 2016
Thursday, September 22, 2016
Thursday, September 15, 2016
Friday, September 2, 2016
This is UNACCEPTABLE and should be FULLY CONDEMNED WORLD-WIDE!
Hii pamoja na kwamba ni zamani, bado nahisi uchungu mkubwa sana kama imetokea jana. Nawasihi ndugu zangu kwenye yafuatayo:-
1. tujiheshimu na kupendana wenyewe
2. tusomeshe watoto wetu
3. tujenge uchumi wetu na tujitegemee
namna pekee ya kuheshimiwa na watu hawa ni kujikomboa kutoka kwenywe umaskini, kujitambua, kuheshimiana na kupendana kwa sisi waafrika. Natamani kuwaona wanangu na hasa jamii nzima ya kiafrika ikiheshimika sana na kufikia hatua wazungu wachukue ushauri wetu!
kwa viongozi wanaong'ang'ania madaraka, wosia wangu kwao wawaamini wananchi wenzao, wakubali maamuzi ya wananchi na watoe ushirikiano. hili ni eneo lingine linalofanya tudharaulike sana!
Subscribe to:
Posts (Atom)