Popular Posts
-
A policeman at Mbale Central Police Station receiving a naked suspected thief, Bernard Wanja, who was marched to the station by a mob on ...
-
Na Mwandishi wetu, Bongo. Naheshimu sana mafunzo na mawaidha wanayopewa wanawake katika kitchen party zao, na nampa big up sana AdhaDii ...
-
ABOUT Wife of the 41st President of the United States George Bush , and the mother of George W. Bush , the 43rd President of the United...
Sunday, January 27, 2013
Tuesday, January 22, 2013
Wednesday, January 16, 2013
Jamaa kenda kwa Mwenyekiti wa serikali za mtaa kulalamika...
JAMAA: Mke wangu hataki kunipa unyumba hebu ongea nae, nimekuja nae.
MJUMBE: Hebu muite, we kaa nje ya ofisi niweze kumsikiliza
JAMAA: Poa mkuu
MJUMBE: Haya mama kunani tena huko mzee unamnyima unyumba?
MKE: Asubuhi naondoka nyumbani sina senti tano nachukua kibajaji mpaka
kazini nikimwambia dreva sina hela, ananiuliza sasa utanilipa badae au? Mi
nakubali au. Nakuwa hapo nimechelewa kazini, nikifika huko bosi anasema sasa
umechelewa nikufukuze kazi au? Mi nachagua au, jioni narudi nyumbani tena
mwenye kibajaji ananiuliza unalipa au? nakubali au, sasa nakuwa nimechoka mzee
akitaka namnyima.
MJUMBE; Dah hiyo stori ya kusikitisha, sasa tumwambie mumeo au?
Tuesday, January 15, 2013
Thursday, January 10, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)