Tuwe makini kwenye suala zima la kumalizia mwaka na kuanza mwaka mpya 2012... take care and all the best. KICHWANGUMU!
Popular Posts
-
By Shaibu Mdoe DSM In Lebanon, men are legally allowed to have sex with animals, but the animals must be female. Having sexual relations wit...
-
By Ikunda, DSM. I recall my first time with a condom, I was 16 or so. I went in to buy a package of condoms. There was a beautiful woman ...
-
Alfred S. S. Mosha (Kipoo) 3 rd March 1944 – 2 nd September 1994 Time flies, days go by… it’s like you were here only yesterday. But t...
-
Family conversations this morning... MKE: Kuna nini kwa jirani? MME: Kuna birthday MKE: Ya nani tena? MME: Itakuwa Tuyu... MKE:...
-
1st woman: Hi! My name is Sandra. 2nd woman: Hi! I'm Sylvia. How'd you die? 1st woman: I froze to death. 2nd woman: How...
-
An elderly spinster who was a dog lover, agreed to look after her neighbor's dog while they went on vacation. The only problem was that...
-
Private Brian Salvarory Rweyemamu enzi za uhai wake. Bwana Salvatory Rweyemamu wa Kinondoni Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo...
Friday, December 23, 2011
Thursday, December 22, 2011
Kipindi hiki baadhi ya wanaume wanapokea simu na sms za aina hizii…..
1.'Dear, kodi ya pango inaisha January 2012 na mwenye nyumba ameongeza
kodi. I love you much!'
2.'Baby, xmas itakuwaje nataka nikafanye shopping Mariedo. Na nataka kwenda kusuka mwenge, naomba TShs 1,000,000. Xoxo.'
3.'Mpenzi, sasa Kova utamdanganya vipi kuhusu ile safari yetu ya Zanzibar on new year's eve? Missing you badly!'
4.'Sweetie, naomba uniongezee TShs 600,000 niweze kumalizia school fees ya mdogo wangu. Kiss and hug.'
5.'Mama na wadogo zangu watakuwepo wakati wa sikukuu hii. Kwahiyo naomba hela ya shopping ya chakula my love. Bye!'
6.'Sweetheart, nimeishiwa naomba pesa ya mafuta kama TShs 200,000 ukiweza please. Chat later baby.'
Wednesday, December 21, 2011
Kitchen Party kutoka Kaunta (Kaunta party) kwa wanawake walioolewa na wanaotarajia kuolewa...
Na Mwandishi wetu, Bongo.
Naheshimu sana mafunzo na mawaidha wanayopewa wanawake katika kitchen party zao, na nampa big up sana AdhaDii (kama sijakosea kwa uzi wake wa kuwanoa wake zetu aliouweka hapa siku kadhaa zilizopita.
Pamoja na hayo, niwaambie tu kuwa huko mnaambiana namna ya kuishi kwenye ndoa kwa ujumla, ikiwemo namna ya 'kumridhisha' mumeo. Ni mazuri mnayoambiwa, ila yanakuwa na upungufu kidogo kwa sababu mnaambiwa na wanawake wenzenu tu. Sasa leo nimeona niwape japo kwa ufupi sana yale tunayopenda wanaume, mimi binafsi lakini nikitafuta wastani na yale ninayosikia kwa wanaume wenzangu tukiwa tumeketi kaunta tunapata moja barrdiii. (Kwa taarifa yenu, tukikaa mule tunadiscuss maendeleo hadi inapofikia chupa ya tatu, baada ya hapo tunaanza kudiscuss sketi zinazokatiza na wengine hutoa hasa siri za wake zao (walaaniwe))
Nisiende mbali sana... Kuna silaha moja tu ya kumfurahisha mumeo na kujenga ndoa yenye amani. Sio chakula kitamu wala tabasamu. Ni SEXUAL LIFE................
Kwa bahati mbaya sana kwenye ule uzi wa AshaDii, hii aliiweka kama point ya nane nadhani....
SEXUAL LIFE.... inatakiwa iwe ya kwanza katika maisha ya ndoa, mengine yote yatatokea hapo....
Ukweli ni kwamba mudi ya binadamu (hasira, furaha, woga, wasiwasi, upendo, chuki, kisirani, usikivu n.k) inakuwa controlled na hormones zinazotolewa kwa wingi katika mwili kwa wakati husika...
Hakuna wakati mwingine wowote mwanadamu (aliye sexually active), anazalisha katika mwili wake hormones zinazohusiana na amani, furaha, upendo, usikivu.. kama wakati akiwa sexually stimulated.
Kama unapenda mumeo akupende na aipende ndoa yenu, jua na weza kumstimulate sexually...
Je, wajua namna ya kufahamu kama mmeo amekuwa sexually au anakuwa sexually stimulated kwako? Ni rahisi kwenu wanawake.. kama mumeo anaerect kirahisi kwako, na mara kwa mara, then anakuwa sexually stimulated na wewe..
Je, wajua namna ya kumfanya mumeo awe sexually stimulated? Najua hapa wengi wenu mmejibu "ndiyo", lakini niwatahadharishe tu, hakuna kazi ngumu kama hii. Wengi hapa wanawaza romance, wanawaza kujiweka sexy n.k... lakini niwahakikishie kuwa hayo yanafanya kazi kwa mabaa medi, na madada poa, na nyumba ndogo pekee (japo kwa nyumba ndogo sio rahisi kihivyo), lakini sio kwa mke, au mwanamke ambaye mwanaume amekuwa naye kwenye uhusiano kwa muda mrefu...
Mwanaume anapomtazama mwanamke ambaye hawana mahusiano ya muda mrefu, anaona mwili wake tu, kisha akili yake ina-command mwili utoe hormones kadiri ya ilivyomtarakari. Nitatazama mguu, kiuno, paja, kifua, macho, sijui midomo n.k, then vikinivutia, na nikiwaza kumvua nguo na kumkumbatia, na ku..... then mwili wangu moja kwa moja utatoa hormones flani nzuri, na majibu yake yanaweza kuonekana kwa mitikisiko fulani chini ya kitovu changu...
Lakini mwanamke akimtazama mke wake, au mpenzi wake wa muda mrefu, haoni mwili wake hata kama yuko uchi, bali anaoyaona MAWAZO yake (full stop). Anayaona mawazo yake. Then, bila kutafakari, bila kuamua mwenyewe, sehemu fulani katika ubongo wake ambayo ina-operate autonomically, inauamrisha mwili utoe hormones fulani. Sasa hapa kuna matatu; ama zitolewe hormones zinazohusiana na FEAR (cortisol related), au zinazohusiana na LOVE (steroidal related), au zisitoke zozote. Najua hapa wanaume wengi tunasema, mimi ni mwanaume, I can't fear my wife... lakini ukweli ndio huo, na it is an involuntary action, you can't control it.
Kuna wanaume wengi sana wanajilazimisha kuwapenda wake zao. Wanajilazimisha kurudi nyumbani mapema, sio kwa sababu wanajisikia kurudi mapema. Wanajilazimisha kuwanunulia zawadi wake zao, lakini hawajisikii automatically kufanya hivyo. Wanajilazimisha kwenda outing na wake zao, lakini wanafanya hivyo ili kuwaridhisha tu. Wanajilazimisha kusex na wake zao, lakini ni hadi wavute mawazo ya demu mwingine ndo jamaa asimame, na akishamaliza kimoja, harudii tena hadi baada ya siku mbili. Kuna wanaume wanajilazimisha, na kwa bahati mbaya ndio majority. Kuna mwanaume ili ngoma isimame kwa mkewe lazima ishtuliwe kwa nusu saa, lakini akipata miadi na demu wa nje, ktu inasimama njia nzima wakati akielekea huko... Wanawake mpo responsible (fully responsible), kuwafanya wanaume ama watoe fear hormones, au love hormones kwenu, au wasitoe zozote. Fear hormones zina very high antagonistic (opposite) effect kwa love hormones.
Baada ya kuandika sana sayansi yake, sasa nigusie namna ya kuwezesha mwanaume atoe love hormones zaidi ya fear hormones. Fanya namna hii..
- Don't make sex a very seriuos thing.. Nimeona nianze na hii kwa sababu ukianza kusoma hizo nyingine, unaweza kujenga wazo la kuifanya sex iwe very serious. Ukifanya sex iwe very serious, itakufanya wewe kwanza uwe unajenga wasiwasi fulani wakati unapoi pursue, hivyo unasecret cortisol na kukufanya kukosa mvuto kwa mumeo. Kwa hiyo, usiipangie ratiba, mahali, staili, or any official arrangement. Do it easily, do it simple.
- Kuwa mtundu/mhuni Wanawake wengi wanajisahau na kudhani kuwa wakiwa watundu, waume zao au jamii inayowazunguka watawaona wahuni. Siku zote wanaume wanakuwa stimulated na wanawake wahuni. Hakuna namna nyingine ya mumeo kuwa stimulated na wewe zaidi ya wewe kuwa mhuni lakini mhuni kwake tu. Uhuni sio dhambi, kama uhuni huo unaufanya ndani ya ndoa (usifanye uhuni nje ya ndoa yako). Kwa hiyo ongea maneno yote ya kihuni ukiwa na mumeo na uki-address zaidi mwili wake na wako na sio wa watu wengine, na matendo yenu, na sio ya watu wengine. Najua hapa siwezi fafanua sana, la sivyo uzi utahamishiwa kuleee, kwa wakubwa. lakini jisikie free kutamka maneno kama m**o, K**a ma**ko, n.k ukiwa na mumeo. Jisikie huru (tena jitahidi), kusema sentensi kama "Kudadeki leo nakukatikia hadi k**a ipate moto", au "leo m**o yako imevimba vizuri, kama ndizi mzuzu ya Tukuyu" n.k (siwezi kutoa mifano zaidi kutokana na maadili ya hapa... kama vipi nifuate PM)... Kuwa mchokozi sana tu. Mfano, katika mazingira ambayo mmeo hakutarajia, fungua zipu ya suruali yake na anza kula ndizi kimya kimya na bila utani. Yaani unajifanya umedata na hii sio lazima ifanyikie chumbani na hata akikukataza, (of coz usifanye penye watuwengine), jifanye unakuwa mkali then, unaendelea kula koni kwa dakika kadhaa, then unamuachia kimya kimya akitafakari, unaendelea na shughuli zako kama hakuna kitu kimetokea. Mfano mwingine ni kama vile mkiwa chumbani, unatandika kanga kitandani, unamlaza chali (unakuwa very siriaz, hakuna kuchekacheka), unachukua shaving machine unamnya mavuzi, bila shaka ukiwa kwenye process ngoma itasimama, unamwambia ..."huyu mbona anajifanya mjanja, ngoja nimnyamazishe" unavua ch*pi unaikalia unaishughulikia, akishusha mzigo inalala. unaendelea na kunyoa, ikisimama tena unaishughulikia tena n.k.
- Usichekecheke... kati ya kitu kinachokata stimu kwenye sex ni pale mwanamke anapokuwa anachekacheka 9kwa aibu) wakati akifanya romance. Tengeneza sura ya kulegeza machi na kuenoy unachokifanya (hata kama hauenjoy), hasa wakati unafanya romance. Ukiangalia ndude yake usiiangalie kwa ukichekacheka au ukionesha kushtuka au kuishangaa. Iangalie kama mtu anavyoitazama nyama wakati anaila. Tumia sana mdomo, na sio lazima kila baada ya kulamba koni utake mchezo. Sometimes jifanye kuwa umelamba koni kwa raha zako (mwambie nataka nilambe kidogo then nikageuze mboga jikoni). Mlambishe chumvi kwa nguvu hata kama hapendi. Mkalie kufuani na kwa pozi msogezee..... (nisiendelee sana hapa maana nitavuka mipaka ya maadili). Usitake kila siku akuanze yeye... Kama unajisikia (sio lazima uwe na hamu, but pretend kuwa kuna siku nawe unakuwa na hamu),ghafla bila yeye kutegemea, bila kumuomba, na tena wakati mwingine subir mkiwa mwenye maongezi yasiyohusiana na mapenzi (hata ya maendeo), ghafla anzisha tukio la kushughulikia eneo lake la siri. Na hapa nisisitize kuwa wapo wanaume ambao ukiwaambia kuwa unataka, wanakosa confidence na hapo ngoma haisimami. Yani we jifanye kama vile unajihudumia (yeye hahusiki), chezea maeneo yake vile unavyotaka (huku ukiwa siriaz, au ukipiga stori zisizohusu mapenzi), na baada ya muda utashangaa ngoma inanyanyuka, unavua, unaikomesha, then mnaendelea na stori kama kawaida.
Yani nina mengi sana ya kuandika, lakini namsikia wifi yenu huko kaingia bafuni, ngoja nikamchokoze kidogo... nitaendelea kesho.
Monday, December 19, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)