Popular Posts
-
Mto juu ya mto, wadau... huu mto uliopo juu ya mto upo ujerumani... wadau mnaojua zaidi mtujuze...
-
A n 80-year-old man goes for a physical. All of his tests come back with normal results. The doctor says, 'George, everything looks gre...
Friday, April 27, 2012
Thursday, April 26, 2012
Sunday, April 22, 2012
Monday, April 2, 2012
Today's JOKE...
Dereve
mmoja kwa jina MIKE alikuwa anampeleka boss wake Airport. Njiani Boss
alikumbuka kuwa amesahau document muhimu sana hivyo alimwamrisha Mike
amrejeshe haraka nyumbani aifuate hiyo document.
Walipofika nyumbani Boss alimkuta mkewe yuko bafuni anakoga na amejipaka sabuni usoni. Kwa mapenzi mumewe alifungua mlango wa bafuni na kumshika makalio na ndipo mkewe alivpojibu,
''MIKE ushamfikisha huyo mpumbavu airport kwa haraka hivyo. Usiwe na haraka tutakuwa na raha weekend yote hii kwani tutakuwa wote LAAZIZ wangu.
Mkewe boss akaona kimya akaona kulikoni?Aliosha uso wake na mara akamwona mumewe??
Jamani kilichoendelea mimi sijui…………..Unadhani safari iliendelea?

Subscribe to:
Posts (Atom)