Popular Posts

Monday, February 28, 2011

Dogo tundu...

Mtoto wa kiume ni wa kiume tuu... tangu utoto utaona tabia zake. sasa hapo kwenye sanamu la dukani anachungulia nini?????

Saturday, February 26, 2011

Mdudu...


Jumamosi kama ya leo, kuna wadau wangu wawili wako dodoma, wanne wako moshi, wawili wako arusha, dar ndo usiseme... wakipata hii 'menu' wanaamini kuna stability kwenye shughuli zao za week-end! Niwataje????

Tuesday, February 8, 2011

Monday, February 7, 2011